POS – Fanya Mauzo ya Cash, Oda na Invoisi kwa urahisi na haraka
SALE ONLINE – Share bidhaa unazouza kwa wateja wako waweze kuoda na wewe kuuza online!
WHATSAPP SHARING – Unaweza kutuma Oda, Invoisi na Risiti kwa wateja wako kupitia WhatsApp
CONTRACT & LEASE MANAGER – Andaa mikataba mbalimbali kwa wateja wako , mfano (Wapangishaji Vyumba, Majengo, Wanasheria n.k)
AUTOMATIC STOCK TAKING – Linganisha stock dukani na kwenye mfumo uku ukiendelea kufanya biashara yako (Hakuna kusimamisha biashara!)
ACCOUNTING PERIOD CLOSING DATE – Zuia taarifa za biashara yako zilizofanyiwa kazi kwa tarehe uliyochagua kutoweza kubadilishwa na watendaji wako
PROJECT BUDGET – Andaa bajeti ya project zako kuweza kucontrol matumizi na mapato kwa project husika
BIOMETRIC ATTENDANCE – Pata mahudhulio ya wafanyakazi wako kwa kuunganisha kifaa cha mahudhulio (ATTENDANCE DEVICE) na mfumo wa tHL Accounting